.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akisiliza maelekezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Iramba, Mkoani Singida wakati alipotembelea chumba cha upasuaji Hospitali hapo.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua vifaa vya Maabara
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Iramba namna wanavyokusanya mapato.
Jengo la Utawala la Hospitali ya wilaya ya Iramba na juu ni baadhi ya majengo ya Hospitali hiyo
Picha chini ni Majengo ya Zahanati mpya ya Kisimba iliyopo Wilayani Iramba.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akisaini kitabu cha wageni kwenye Zahanati hiyo Kisimba
Jengo la Zahanati ya Kisimba
![dsc_0587](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_uvAZ4JlVvRTAiedAWpB9_OcKM-Wc3PSpei8O4EF__DSRaFycffgO4zne5cf5npZ7fAb8vjoSFgFf9epAYP4fDfVCG5ahCc70FDvYAH_LURyjibFQS7AKuBvERi-bgheA=s0-d)
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akisalimia wenyeji (Hawapo pichani) wakati alipotembelea Zahanati hiyo ya Kisimba
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akisalimiana na watumishi wa Zahanati hiyo ya Kisimba.
![dsc_0593](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tVh468MR254uUpsZyhmcj8hoT4OQ5VYKooIF1HeGvdTkKHVhdBmT4VUwRbaNlHGBhrrrNFUJch1z7kpgbjjm7zVJtzZ1d3JbTBfIzihy-rhScg9YVfvDqAIm1bn1AbjA=s0-d)
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua chumba cha dawa kwenye Zahanati hiyo.
1 comment:
PROMO DELIMA
poker online | Agen Domino | Agen Poker|Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | bandar qiu | Judi online terpercaya
Bonus yang kami sediakan :
* TO (Turn over) sebesar 0.3% yang akan di kami bagikan setiap hari senin
* Bonus referal sebesar 10%
Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat.
Come join and be a winer with us !!
Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: Facebook
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___http://www.delimapoker.com/?ref=19860605
Post a Comment