Monday, December 19, 2016

NAIBU KATIBU MKUU MPYA WA CCM AKABIDHI MADAWATI 200 MOROGORO

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akimsalimia Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dk Steven Kebwe alipowasili kwenye Ofisi ya CCM ya mkoa huo, akiwa katika ziara ya kikazi leo. Katika ziara hiyo alimkabidhi mkuu huyo wa mkoa madawati 200 yaliyotolewa na CCM mkoa huo na baadaye alifungua semina ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Morogoro. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogo Innocent Kalogeris 
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akimsalimia Mkuu wa wilaya ya Morogoro Regina Chonjo alipowasili kwenye Ofisi ya CCM ya mkoa huo, akiwa katika ziara ya kikazi leo.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akimsalimia Katibu Mwenezi wa mkoa wa Dorothy
Mwamsiku alipowasili kwenye Ofisi ya CCM ya mkoa huo, akiwa katika ziara ya kikazi leo.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akielekea kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro baada ya mapokezi
Vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM wakiwa kikakamavu wakati wakimpokea Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, alipowasili Ofisi ya CCm mkoa wa Morogoro akiwa katika ziara ya kikazi leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akivishwa skavu na Kijana wa Umoja wa Vijana wa CCM, baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro leo. Kushoto ni Kaimu Katibu wa CCM wa mkoa huo, Kulwa Milonge. 
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara akimsalimia Chifu Kingalu Mwanabanzi wa 15, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro akiwa katika ziara ya kikazi leo.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akimsalimia Mweka Hazina wa mkoa wa Morogoro, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo leo
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akimsalimia Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Morogoro Mecky Mdaki alipowasili Ofisi ya CCM ya mkoa huo leo
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo alimsalimia Mkuu wa mkoa waMorogoro mstaafu, Steven Mashishanga, alipowasili ofis ya CCM ya mkoa huo leo
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akisalimia Wazee maarufu, alipowasili Ofisi ya CCM ya mkoa wa Morogoro leo
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akiwa katika Ofisi ya Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro, wakati akisubiri ratiba ya shughuli zake ianze, alipowasili Ofisi ya CCM ya mkoa huo leo. Aliyesimama ni Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro, Kulwa Milonge. 
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akisalimiana na Ofisa Mwandamizi wa Makao Makuu ya CCM, Steven Kazidi walipokuwa katika Ofisi ya Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro, leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara akiingia ukumbini kuzungumza na viongozi wa ngazi ya mkoa, alipowasili Ofisi ya CCM ya mkoa wa Morogoro leo
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, akisaini Kitabu cha wageni kabla ya kuzungumza na viongozi hao leo. Kulia ni Kulwa Milonge

 Katibu wa UWT mkoa wa Morogoro Mecky Mdaki akijitambulisha ukumbini  
 Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Kulwa Milonge akizungumza wakati wa kikao cha Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrck Mpogolo (wapili kulia) na viongozi wa CCM ngazi ya mkoa leo
Kulwa Milonge akisoma taarifa ya mkoa 
 Milonge akipongezwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara baada ya kusoma taarifa ya mkoa
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro, Karogeris akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo kuzungumza na viongozihao
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akizungumza na viongozi wa ngazi ya mkoa alipokuwa katika ziara ya kikazimkoani humo leo
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rodrick Mpogolo akiwasili kuzungumzana wananchi na wanachama wa CCM, nje ya Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro leo. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk. Steven Kebwe na Mwenyekiti wa CCM mkoa huo Karogeris
 Wana-CCM wakimshangilia Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara alipowasili kuzungumza nao nje ya Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro leo

 Viongozi wakiwa tayarikwenye meza kuu
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dk. Steven Kwebwe akimtuza kiongozi wa kwaya ya CCM baada ya kukunwa na wimbo uliokuwa ukiimbwa na kwaya hiyo mbele ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara kabla ya kuzungumza na wanachama wa CCM na wananchi nje ya Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro 
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akishangilia baada ya kumtuza kiongozi wa kikundicha kwaya ya CCM, ambaye naye pia alimkuna kwa wimbo uliokuwa ukiimbwa na wanakwaya hao
 Baadhi ya viongozi wa CCM mkoa wa Morogoro wakiwa kwenye mkutano huo 
Kada wa CCM, Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, ambaye pia amewahi kuwa Naibu Waziri Edward Mweisumo, akisalimia wakati wa mkutano huo.
 Baadhi ya wanachama na viongozi wa CCM wakiwa kwenye mkutano huo
 Chifu Kingalu Mwanabanzi wa 15 akimuombea dua ya kimila Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo baada ya kumvalisha kofia, shuka na fimbo, kabla ya kuzungumza na wanachama wa CCM na wananchi kwa jumla nje ya Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro leo
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rodrick Mpogolo akinyoosha juu fimbo baada ya kukabidhiwa na Chifu Kingalu

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akikabidhiwa madawati 200 na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro, Karogeris. Madawati hayo yametolewa na CCM mkoa huo kwa ajili ya kuiunga mkono serikali katika suala la upatikanaji madawati 
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akimpongeza Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dk. Steven Kebwe wakiwa wamekalia madawati hayo bada ya makabidhiano.


 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi kwa jumla nye ya Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro leo
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rodrick Mpogolo akiwasili ukumbini kufungua semina ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Morogoro leo. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dk Steven Kebwe na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro, Steve Karogeris na Watatu kulia ni Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Kulwa Milonge
 Mwandishi wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani Latifa Ganzel akisalimia kwa niaba ya waandishi waliohudhuria kuandika habari za semina hiyo leo 
 Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Kulwa Milonge akizungumza kabla ya Naibu Katibu Mkuu kufungua semina hiyo.
 Washiriki wakiwa kwenye semina hiyo
 Washiriki kwenye semina hiyo
 Washiriki kwenye semina hiyo
 Karogeris akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara kufungua semina hiyo
 Washiriki wakiwa kwenye semina hiyo
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akifungua semina ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCm mkoa wa Morogoro, mjini Morogoro leo. Picha zote na Bashir Nkoromo.

No comments: