Sunday, August 19, 2007

FIESTA, FIESTA!

Kevin Lyttle akiwa kazini kwenye tamasha la Fiesta usiku wa kuamkia leo Leaders Club...!
Mzee Mzima Koffi 'akiwajibika' usiku wa kuakia leo, pale Leaders Club Dar, kwenye Fiesta 2007 kukiwa na nyomi za kufa mtu kama ilivyoada!

Hii nayo sijui ndo staili gani..... 'stejishoo' wa Koffi akiwa kazini kuonesha kuwa bado wamo..!

Huyu nae... anacheka...ni steji shoo wa Akudo Impact, jamaa wanaotishia ajira ya FM Academia hivi sasa Bongo.

Huyu nae ni 'stejishoo' wa Koffi, anakupa staili ya 'Backstage', chukueni...!

Mgongo huo wa 'stejishoo' wa Koffi.. chachandu kibao kiunoni..!

Bongo demu kuwa na 'jitumbo' ni ujiko..unaambiwa kajazia! Huyu nae alikuwepo Fiesta kwa staili hii, simu mbili mkononi akinasa matukio, tumbo nje, mkanda nje.

3 comments:

Anonymous said...

lol, dah kweli tembea uone.

Anonymous said...

bongo kaazi kweli kweli!! mtandao huu unalipa, endele kutupa vitu adimu!

Anonymous said...

mzee sio kweli kwamba akudo wanatishia ajira ya fm academia wapo juu. hata mzee mzima walimfunika kwenye fiesta. MASU