Thursday, September 20, 2007

Innocent Baby!!

Hivi mama yako angekutupa jalalani kama huyu mtoto, leo hii ungekuwepo unasoma blog hii? Huyu ni mtoto asiye na hatia ambaye ametupwa akiwa kwenye mfuko wa Rambo Vingunguti jijini Dar es salaam mapema wiki hii...mrembo aliyemtupa hajajulikana..!

3 comments:

Anonymous said...

has this innocent baby lived or died? my heart goes out to these poor kids, unapotuandikia tuambie kama ameishi au amekufa, vilevile picha za yule mtoto marehemu kuwekwa bloguni sio vizuri, omba conset ya mzazi wake ndio ufanye hivyo. inazidisha uchungu... hujafikiria tu kuacha kujiita abby cool?nadhani shigongo alipata ushauri wa kuacha kukopy kazi za watu.

Anonymous said...

Mtoto yuko hai au amefariki???

Mrisho's Photography said...

mtoto alikutwa tayari amekufa, kwa mujibu wa habari.