Wednesday, September 12, 2007

Mnamuonea donge Maimatha!


Mbona yuko fresh tu mamaa Mai wa Jesse?!!

4 comments:

Anonymous said...

Kweli yuko fiti, maana mwanamke poda kama sio angel-face.

Anonymous said...

Mmh!! aisee hii ni akli, huyu dada anahitaji ushauri wa bure. Kwa ufupi anatisha tena sana yani amekuwa kama Michael Jackson kabisa.Puu!! sijui nani amemdanganya kuwa kapendeza jamani aangalie asijepata kansa ya ngozi.Mikorogo siyo dili jamani kama wewe mzuri mzuri tu siyo mapaka utumie mkorogo. Umechukiza sana.

Anonymous said...

kwakweli sio uongo huyu dada jamani huo mkorogo ni kasheshe tena kasheshe balaa, jamani uko kama kinyago cha mpapure kaka mrisho naombeni mtu amwambie kuwa amekuwa MBAYA na ANATISHA sura kaa plastic huna uzuri wowote unatisha tu. ushauri wa bure ni kutumia hiyo mada hapo juu ya you are what you eat, ili arudishe sura

Anonymous said...

Mwandishi wa hii blogu nadhani anapenda uchonganishi. Ukweli ni kuwa huyu bibie ukiangalia miguu yake utadhani anafanya kazi stoo ya mkaa! Khaaaaa wala sioni uzuri wowote hapa.

Amekuwa ka kinyago, utadhani anajiandaa kwenda kucheza madogori! Mshaurini vizuri mwenzenu, tuache ushabiki wa kipuuzi na kitoto. Mikorogo imepitwa na wakati