Thursday, September 20, 2007

Mrembo wa Wiki

Juna lake: MANKA MUSHI

KAZI YAKE: Uanamitindo

ANAISHI: Mwanza

ANAPENDA: Kuimba na kusikiliza muziki

HAPENDI: Majungu, umbea na kujirahisi kwa wanaume

USHAURI KWA WASICHANA WENZAKE: Tusibweteke, maisha bila kupambana huwa magumu.

No comments: