Friday, September 28, 2007

UDAKU WA Dk.Cheni!


Kitendo cha msanii maarufu wa maigizo nchini, Muhsin Awadh 'Dk. Cheni', kuchumbia na kuoa mwanamke mwingine, kimedaiwa kuhatarisha maisha ya mchumba wake wa zamani, Tamrina Mohamed a.k.a Amanda ambaye hali yake kiafya sasa imeelezwa kuwa ni mbaya.

Kwa mujibu wa chanzo kimoja, (jina tunalihifadhi), kitendo cha Cheni kumuacha solemba Amanda na kuoa mwanamke mwingine, kimemchanganya mwanadada huyo ambaye naye ni muigizaji na kumsababishia matatizo ya kushuka kwa shinikizo la damu (low pressure).

No comments: