Tuesday, September 11, 2007

Vimwana wa ngwasuma!

FM Academia kimwana kazini...!
Mamaa Maimatha wa Jesse... uso huo..!

4 comments:

Anonymous said...

Yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Hizi sura sasa zinatisha. Utadhani anakwenda kucheza ngoma za kienyeji. Yailani maulana,
Urembo naona unatafutwa kwa nguvu.

Anonymous said...

Mmh! Jamani Maimatha yani anatisha! amekuwa utafikiri zile katuni za sinema ya watoto ya kichina jumapili. Asipoangalia atakuwa na Michael Jackson!!

Anonymous said...

Nilidhani mimi mshamba sijui kama amependeza au la. Ila amekuwa ka jini tena jini zee. Naomba rafiki zake wa karibu mumshauri anakoelekea sik0.\

Hivi kweli kama uso uko hivyo figo zake si zimeoza? Au huyu bibie anatumia kiio cha mbao nini?

Anonymous said...

Duh!! Anashindana na Micheal Jackson!
ila Makeup na michubuo ya Micheal ni ya bei gali! za mwenzetu ni za kariakoo!!