Wednesday, October 24, 2007

MAISHA MAZURI YAPO KIJIJINI!

Wanawake wakipeleka ndizi katika soko la Kiwira wilayani Rungwe Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kuuza
Wasanii wa Kyela wakicheza ngoma ya Muganda wakati Waziri Mkuu Edward Lowassa alipowasili kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo jana akiwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya.
Waziri Mkuu,Edward Lowassa akisalimiana na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela akiwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya jana. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Mashimba H. Mashimba.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

1 comment:

Anonymous said...

Hivi nyie wehu? madiwani mnavaa nguo kama wendawazimu..ili mradi kuigiza tuu mamnbo ya nje. hivi si mngevaa sare zenu za kitanzania kuliko hivyo mlivyojichora?