Tuesday, October 9, 2007

MATITI YANAPOKUWA DILI!!


Matiti ya mrenbo huyu ambaye ni Miss Kanda ya Mashariki 2005-06, Maureen Gislary, yameelezewa kuwa ni dili, kutokana na jinsi yanavyowatoa udenda wanaume wengi ambao wamekuwa wakitumia njia tofauti ili kumnasa kimapenzi.

Imebainishwa kwamba ukubwa wa matiti hayo ndiyo kigezo kinachowafanya wanaume wengi kuchachawa, kiasi ambacho baadhi yao hufikia hatua ya kumtangazia donge nono ili akubali kujivinjari nao.


“Yaani sina amani kabisa, wanaume wananisumbua, si vijana si wazee, kitu ambacho kinanishangaza ni pale wanaponiambia kwamba nipo tofauti na wanawake wengine, lakini mimi najiona nipo kawaida.

“Wanasema matiti yangu ni mtaji tosha kwa sababu ni makubwa sana na yanavutia kuliko ya wanawake wengine. Pamoja na hivyo huwa napata mashaka kwakuwa walianza kunisifu, nilipoanza kuonekana kwenye mashindano ya urembo na baada kupata umaarufu.”

“Kule Upanga ‘mapedeshee’ walikuwa wanapishana, kila mmoja na ahadi yake, wapo waliodai wanataka kunipa ‘ofa’ ya kusoma Ulaya, wengine kunijengea nyumba, lakini sikuona umuhimu, nilijua hawanipendi isipokuwa wananitamani kwa sababu ya matiti yangu..." ndo kilio chake mnamshauri nini wadau?

3 comments:

Anonymous said...

MKuuuu kaziiinzruuu snaaaa' mimi na wadauuu wa hapa canada tunaomba pichaa zaidi za huyu binti hata ikiwezekana nzimaa bila kukataaa...
kama vipi tuwekee hata leoooo' blog yako imetulia mzeee ...

Anonymous said...

KAMANDA TUNDIKA NYUZI ZAIDI ZA HUYU MREMBO HII IMETUVUTIAA SANAA MAAAANA KWA SISIS TULIO MBALI NA NYUMBANI TUNASOMA VITUKO KUPITIA KWAKOOO..

Anonymous said...

From hapahapa Dar.
E bwana ushauri wangu kwa huyu Mrembo inabidi atulie na kupuuza usumbufu anaoupata kutoka kwa wanaume.Mimi naamini hao mnao/anaowaita Ma'predeshee wanaotoa ahadi lukuki kutokana na uzuri wa matiti yake wanania ya kumla uroda tu hakuna kingine,tena hao wenye ahadi za kufa mtu sijui nitakupeleka Ulaya ukasome,sijui nitakununulia Vitara,nitakujengea nyumba unakuta wana ngoma(ukimwi
Kwa maisha ya sasa hv naamini yeye kama mtu mzima atakuwa na mtu(mchumba/mpenzi) wake,atulie atunze penzi lake,siyo eti amteme Mshikaji ksbb ya umaarufu na u'high demand wa appearance yake uliojitokeza ghafla.
Holla!