Friday, October 26, 2007

MOBIPAWA!

MOBIPAWA: Hii ni huduma mpya kabisa kutua Bongo. Hii ni huduma ya kuweka, kutoa na kuhamisha fedha kwenda kwa mtu au taasisi nyingine kwa kutumia simu ya mkononi ya aina yoyote na mtandao wowote. Pia mtu utaweza kununua huduma mbalimbali kwa kutumia huduma hii...imetambulishwa Ijumaa hii jijini Dar es slamm na kampuni ya E-Fulusi Africa inayomilikiwa na vijana wa Kibongo!
Mr. Nadeen Juma: Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya E-Fulusi Africa wakati wa utambulisho wa huduma ya Mobipawa mbele ya waandishi wa habari Ijumaa jijini Dar es Salaam.
Fredrick Silaa; Mkurugenzi wa Masoko wa E-Fulusi Africa akiongea na press.

Francis Yanga (Kati) Mkuu wa 'Operations' wa E-Fulusi Africa akiongea na bosi wake Mr. Nadeem (kulia) mara baada ya utambulisho wa huduma hiyo mpya nchini. kushoto ni dada kutoka kampuni ya Experiential Marketing

2 comments:

hj said...

this truly is going to change Tanzania. You should take a look at MOBIPAWA's philosophy of rural development and young, Tanzanian creativity.

255 Tech said...

It is 2022 now, mobile money has really changed Tanzania