Thursday, October 25, 2007

MSIBANI KWA MBATIA! (R.I.P)

Mh. Sitta akiingia nyumbani kwa marehemu Salome Mbatia asubuhi leo
Mh. Sitta akimpa pole mtoto wa marehemu, Philip.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano akitoa pole kwa wafiwa nyumbani kwa marehemu
Watoto wa marehemu (kutoka shoto) Philip, Junior na Yolanda nyumbani kwao Mtaa wa Kaunda Oysterbay jijini Dar es salaam asubuhi ya leo
Mrema akitoa pole kwa watoto wa marehemu
Mrema na timu yake nao walikuwepo mchana huu nyumbani kwa marehemu

Mtoto wa marehemu Junior (aliyeinama) akiwa na marafiki zake
Maaskofu nao walifika nyumbani kwa marehemu, wameguswa na kifo chake cha ghafla kwani aliahidi na kufanya mambo mengi kwenye kanisa lao.

No comments: