Tuesday, October 2, 2007

MUOMBE MUNGU!

SALA YA KUMUOMBA MUNGU KATIKA JINA LA MUNGU BABA, MUNGU MWANA NA MUNGU ROHO MTAKATIFU ALIYE BWANA NA MWOKOZI WAULIMWENGU WOTE NINAKUOMBA IBADILI, NA UIBARIKI FAMILIA YANGU, KAKAZANGU, DADA ZANGU, WAZAZI NA WATU WOTE WADUNIA HII. 1.Barua hii ilianzia Mojojos na kuenea Duniani kote. Tengeneza nakala 28 na kupeleka kwa ndugu, jamaa na marafiki muda wa siku 10 utapata majibu. Usicheke wala kuitupa barua hii kwa sababu barua hii chochote kile kinaweza kukutokea. 2. (a) Mr. Corpus Mshahara wake uliongezwa baada ya kusambaza barua hii nakala 28. (b) Mr. Eduan Bentire alifanya mzaha na kucheka barua hii na alipoteza familia yake. (c) Mr. Donienlus alisambaza barua nakala 28 kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki na baadae alishinada bahati nasibu. (d) Mr. Sisen mwaka 1973 aliomba kupeleka nakala 28 kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki na baadae alishinda bahati nasibu ya Dola milioni 2. 3. Tafadhali jaribu kumaliza kazi hii kwa muda wa siku 7 ukisali sala iliyioko juu katika jina la Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Hii si utani katika siku 7 utashangaa. Katika mwaka 1957 mama mmoja kijana wa Calfornia alipokea barua hii. Akaiona kama kero kwake na haisomeki. Lakini baadaye alisema kuwa ataichapa na kuisambaza inavyotakiwa. Akaiweka pembeni na kuisahau, akaikumbuka tena na kuipeleka ilivyoagizwa kwa siku 7. Alinunua gari. Mr. Goerge Bush alipokea barua hii tarehe 16/11/1998 na kupeleka nakala 28 kwa marafiki, ndugu, na jamaa. Baadaye alipata kuwa President wa America . Katika kisiwa cha Johnson Rhode Jimmy Fulei alipokea barua hii na kuisambaza nakala 28 baadaye siku 3 alikutana na mjomba wake Ferari Lanberchuti. Tafadhali kumbuka kupeleka nakala na usidharau. Kwa sababu Mtakatifu Yuda Tadei amebariki sala hii. 4. '' KATIKA MAPENDO NA UVUMILIVU MAMBO YOTE YAWEZEKANA '' Hii nakala imepelekwa kwako na kwa bahati yako. Mwanzo wa barua hii ni New Zealandimezunguka Dunia mara 9 sasa. Na bahati imetumwa kwako. Usipeleke fedha kwani imani hainunuliwi peleka sasa nakala 28 kwa watu unao wajua. Usiweke barua hii, itoke mikononi mwako kwa muda wa siku 10. 5. Peleka nakala 28 na angalia kitakacho tokea kwa muda wa siku 7. Lalamiko hili limetokea Venezuelana imeandikwa na Mtakatifu Paul Anton De Droup. Missionary kutoka Afrika Kusini kutokana na barua hii ni lazima isafiri Duniani kote inakubidi uchukue nakala 28 na kuzipeleka kwa ndugu, jamaa, na marafiki na vikundi vyote wewe na mimi siku chache utaona maajabu na ni kweli kunakuamini. 6. Angalia Nd. Carlos Dagit ambaye alikuwa Afisa Mwangalizi Mkuu kwenye ofisi yao alisahau barua hii na kuiacha. Alipoteza kazi.. Baada ya muda alikumbuka na kupeleka nakala 28 ndipo akapata kazi nzuri zaidi siku chache baadae. 7. Kumbuka barua hii inatakiwa itoke mikononi mwako kwa muda wa siku 10 na utapokea bahati yako kwa muda wa siku 7. AHSANTE. 8. Mungu atubariki sasa na hata milele.

No comments: