Wednesday, October 3, 2007

KANUMBA!

katika pitapita mitaani, nilikutana na mcheza filamu, Stiven Kanumba, akanipa pozi akiwa juu ya gari yake. Siku hizi anajiita KANUMBA THE GREAT!

3 comments:

Anonymous said...

Hii ni zamani kabla hajanza kutumia mkorogo!!

Anonymous said...

amejitahidi,atafute na nyumba sasa

Anonymous said...

hey nimeku-mind kinoma kum-piece off Frank b'se ya kile kicheche..tha its sucks me...