Tuesday, February 12, 2008

MAWAZIRI WALIOTEMWA!!!!!

Mama Zakia Meghji - Alikua Waziri wa Fedha

Basil Mramba - Alikuwa Waziri wa Viwanda, Biashara

Harith Mwapacu - Alikuwa Waziri wa Usalama wa Raia

Rita Mlaki - Alikuwa naibu Waziri wa Ardhi

Anthony Diallo - Alikuwa Waziri wa Maendeleo ya mifugo pia ni kizito wa Star TV, Radio Free Africa, Kiss Fm....!

1 comment:

Anonymous said...

Umesahau COMMUNITY AIRLINES