Kama kawaida ya wasanii wengi maarufu kutoka Demokrasia ya Kongo, Boziana naye amepiga hodi katika duka maarufu la Zizzou Fashion na kununua nguo na viatu mbalimbali, ikiwemo jezi maalumu iliyochapishwa jina lake dukani hapo. Koffi Olomide ni miongoni mwa wasanii waliowahi kufika dukani hapo pia. Duka hili maarufu Bongo liko Sinza Afrika Sana na linasifika kwa viwalo vya kisasa na ni kimbilio la mastaa wengi.
1 comments:
Anonymous
said...
Inafurahisha kuona mastaa wengi kutoka KONGO wanatembelea na kufanya shopping kwenye duka lako BIG UP brother nafikiri nikitua hapo nyumbani nami nitakuja kuchukua kitachonifaa. Kwenye picha nimeona jamaa mmoja kashika mfuko mweusi ambao umeshehena zana akiwa sambamba na mzee BENZI ,kama hiyo ndiyo mifuko unayotumia kuwekea bidhaa kwa wateja tafadhani fanya ubunifu. Paper bags zenye nembo za ZIZZOU itakuwa bomba zaidi ili kuenda sambamba na maduka mengine i know you can do it for sure. Kama nimekosea unisamehe tu kaka! Peace !
Usisahau kumtumia rafiki yako link ya Blog hii ukimwambia kuhusu picha za burudani na makala muhimu sana zinazopatikana hapa kuhusu tunavyokula na tunavyopaswa kula na tule nini. Utakuwa umeokoa maisha ya mtu mmoja mahali fulani. Ni makala nyingi zimeshaandikwa kuhusu HIGH BLOOD PRESSURE, LOW BLOOD PRESSURE,ULEVI, WATER THERAPY, FAIDA ZA MATUNDA MBALIMBALI MWILINI, n.k, Just SEARCH BLOG tu (juu kushoto)na utapata makala hizo na nyingine, kumbuka ni kila Jumanne utakuta makala mpya na usisite kunitumia email yako at: amsalawi@yahoo.com Maoni yenu yataheshimiwa!!Kumbuka: YOU ARE WHAT YOU EAT
Saluni mpya na ya kisasa imefunguliwa Victoria Petrol Station Kijitonyama, ikiwa ni hatua nyingine ya kupanua mtandao wa huduma bora za Zizzou Fashion nchini. Kwa maelezo na picha zaidi za saluni hiyo, bonyeza picha hapo juu.
Maduka yote ya Zizzou Fashion yanauza bidhaa original, za kisasa na kwa bei ya kawaida. Kwa maelezo zaidi wasiliana nao kwa simu namba: 0784 695 451, 0717 077 451
BIG D GENERAL SUPPLIER (MERCEDES BENZ, HONDA, BMW CARS & SPARE PARTS DEALERS) .
Mercedes Benz E Class
Mercedes line up
Je, unahitaji Benz ya kisasa au spare zake? Waone Big D, ni wauzaji wa Mercedes Benz na Spare Parts zake kwa bei nafuu nchini Tanzania. Wasiliana nao leo:TEL: +255 0754 540 640, 0754 692 595, 0716 006888 e-mail: sasmadawood@yahoo.co.uk(BONYEZA PICHA KUONA PICHA ZAIDI)
1 comments:
Inafurahisha kuona mastaa wengi kutoka KONGO wanatembelea na kufanya shopping kwenye duka lako BIG UP brother nafikiri nikitua hapo nyumbani nami nitakuja kuchukua kitachonifaa.
Kwenye picha nimeona jamaa mmoja kashika mfuko mweusi ambao umeshehena zana akiwa sambamba na mzee BENZI ,kama hiyo ndiyo mifuko unayotumia kuwekea bidhaa kwa wateja tafadhani fanya ubunifu. Paper bags zenye nembo za ZIZZOU itakuwa bomba zaidi ili kuenda sambamba na maduka mengine i know you can do it for sure.
Kama nimekosea unisamehe tu kaka!
Peace !
Post a Comment