Jokate, ame act kama mchumba wa Ray aliyekataliwa baada ya Ray kumpata 'mchina'
Filamu mpya iitwayo From China with Love inatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni Bongo. Filamu hiyo imechezwa nchini China na Bongo ikiwashirikisha Ray na Mfilipino Aileen Fransisco aishie China, Jokate, Johari, Suzan Lewis 'Natasha' na mastaa wengine kibao. Jana ndiyo ilikuwa 'Preview' yake kwa wadau.

1 comment:
Hongera kwa watengenezaji wa filamu nchini.
Ni hatua nzuri. Ila ongezeni ubunifu ili kuleta ubora ktk filamu.
Keep it up, mpo juu.
Post a Comment