Sunday, November 23, 2008

FROM CHINA WITH LOVE YAJA

Jokate, ame act kama mchumba wa Ray aliyekataliwa baada ya Ray kumpata 'mchina'

Filamu mpya iitwayo From China with Love inatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni Bongo. Filamu hiyo imechezwa nchini China na Bongo ikiwashirikisha Ray na Mfilipino Aileen Fransisco aishie China, Jokate, Johari, Suzan Lewis 'Natasha' na mastaa wengine kibao. Jana ndiyo ilikuwa 'Preview' yake kwa wadau.

JB akitoa maoni yake baada ya kuangalia Movie ya From China With Love
JB akiwa na Mtangazajiwa wa Star TV, Sauda Mwilima
Natasha (kulia) akiwa na mwanae Monalisa wakati wa Preview hiyo iliyofanyika The Atrium Hotel usiku wa kuamkia leo.

1 comment:

Fadhy Mtanga said...

Hongera kwa watengenezaji wa filamu nchini.
Ni hatua nzuri. Ila ongezeni ubunifu ili kuleta ubora ktk filamu.
Keep it up, mpo juu.