Mnyoo wakutwa kwenye ubongo wakati wa upasuaji

Madaktari waliokuwa wakimfanyia upasuaji wa kichwa mwanamke mmoja wa Arizona nchini marekani aliyedhaniwa ana kansa ya ubongo walipigwa na bumbuwazi walipokutana na mnyoo hai ukizunguka kwenye ubongo wake.
Kwa habari kamili nenda NIFAHAMISHE.COM
No comments:
Post a Comment