Meneja Masoko wa Multchoice Tanzania Furaha Samalu akiongea na Channel Ten .
Leo watoto wamekishiriki mchezo wa kuvuta kamba na michezo mingine katika Bonanza la Siku ya Watoto lililoandaliwa na kampuni ya Multchoice Tanzania. Bonanza hilo lilijumuisha watoto wa wateja na wafanyakazi wa kampuni hiyo na lilifanyika katika viwanja vya ofisi hiyo Oysterbay Jijini Dar es Salaam. MultiChoice ndiyo wa wasambazaji wa mtandao wa TV wa DSTV nchini Tanzania na nchi nyingine za Africa.
No comments:
Post a Comment