Friday, January 9, 2009

KUMBUKU KUPATA NAKALA YAKO

Albamu ya Dunia Njia ya mwanamuziki Bushoke iko tayari na itaanza kuuzwa rasmi madukani Jan 10, 2009 ambayo ni Jumamosi leo. Kama ulifikiri Dunia Njia ndiyo wimbo mzuri kuliko nyingine, ulikosea, kuna nzuri zaidi ya huo!!!
Kwa maulizo ya kibiashara, tafadhali piga simu na:
+255 774 770077

No comments: