imeletwa na msomaji wangu:
************************************************
Blog mpya yazinduliwa ugaibuni inayohusu ya mambo ya utalii na vacation barani Africa na Duniani kote. Pata nasaha zinazoelezea namna ya kukunua ticketi ya ndege kwa bei nafuu….zijue best vacation sites, hotels, beach nchini Tanzania, barani Africa na Duniani Kote. Fahamu sites za utalii, honemoon na JUST kura raha kwa bei nafuu.
Karibuni.
No comments:
Post a Comment