

Meneja wa Bia ya Redds Kabula Nshimo(kulia)akimkabidhi
Vodacom
Miss Tanzania 2009 Miriam Gerald zawadi ya mfano wa hundi ya shs milioni moja baada ya kuibuka mshindi wa shindano la
Miss Redd's Photogenic 2009 wakati wa hafla ya kuwapongeza iliyofanyika kwenye Hoteli ya Giraffe,
Dar es Salaam juzi.
No comments:
Post a Comment