Tuesday, December 22, 2009

VISURA WA AFRICA

VIsura 12 wa M-net wanaowania nafasi ya kuchuana kwenye fainali za kumtafuta kisura wa Africa zitakazofanyika katika jiji la Lagos, Nigeria, Februari 6, 2010.

1 comment:

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Mimi NAKATAA kwamba eti hawa ndiyo visura wa Afrika. Tangu lini mwanamke wa Kiafrika akawa mwembamba namna hii??? Tangu lini???

Pengine tuwaite - wembamba wa afrika!