Sunday, April 11, 2010

HARUSI TRADE FAIR SAFI





Usiku wa kuamkia leo wadau walishuhudia maonesho ya mavazi maalum kwa ajili ya sherehe za harusi katika onesho lililoandaliwa na Mustafa Hassanali na kupewa jina la Harusi Trade Fair lililofanyika Diamond Jubilee kwa muda wa siku mbili na kufikia tamati jana usiku. Models kutoka Black Fox Models walionesha mavazi hayo

No comments: