Tuesday, June 8, 2010

BRAZIL YAACHA GUMZO BONGO

Vigogo waliohudhuria mchezo wa jana, kati ya Brazil na Taifa Stars uwanja wa Taifa jijini Dar
huyu mtoto aliyeshikwa mikono na mchezaji wa Brazil alikuwa kituko kwa kutofuata utaratibu kama watoto wenzie...hakutulia na kuangalia mbele
...hizi fulana za hawa watoto vipi, mbona kubwa sana?
Kocha Dunga hakuwa na kazi kubwa sana jana, was very relaxed!
Kocha Maximo hakuwa na furaha kihivyo....anamalizia muda wake vibaya
Rais wa TFF awekwa kati na mapaparazi...wapi vitambulisho vyetu Tenga?

No comments: