Sunday, August 8, 2010

NATURE JUKWAA MOJA NA LIL KIM


Usiku wa kumakia leo ulikuwa ni usiku wa Fiesta Jipanguse kwa Dar es salaam. Kikubwa kilichojiri ni Lil Kim kupanda na Juma Nature na kufanya swaga za uswahilini lililowaacha hoi mashabiki waliofurika katika viwanja vya Leaders. Picha zifutazo zinajieleza zenyewe.



Kundi kamili la Tip Top Connection, wakiongozwa na Meneja wao Babu Tale (kushoto)
Mwana FA (kushoto) akishoo Luv na mshikaji wake AY wakiwa na Imam Abbas (pili kushoto)
kurekodi matukio ni muhimu na si kazi ya wanume peke yao...

No comments: