Wednesday, August 18, 2010

Ngoma Africa Band wazidi kupeta

FFU wa Ngoma Africa Band wameendelea kutikisa baada ya kutoa shoo kali katika jukwaa la World Music Festival, mjini Loshasen, Ujerumani hivi karibuni.

1 comment:

Anonymous said...

vichaa wa ngoma africa band aka ffu au "watoto wa mbwa" kazi wanaijua na uwezo wao wa kulimudu jukwaa ni wa kimataifa