Wednesday, November 17, 2010

ALI KIBA YUKO JUUUU!


Nilijiuliza, hivi kuna msanii yeyote wa Bongo ambaye amewahi kuimba na wanamuziki wa Kimataifa na kuonekana kwenye video ya Kimataifa kama anavyoonekana Ali Kiba kwenye video ya wimbo huu mpya wa Hands Across The World? kwa kweli sikumbuki, kama yupo tukumbushane. Otherwise Ali Kiba yuko juu kwa sasa kuliko msanii yeyote Bongo na anakuwa wa kwanza kufanya kazi na R.Kelly!

4 comments:

Simon Kitururu said...

Ali Kiba anajitahidi sana tu!

Anonymous said...

ukweli kitu kimetulia Big up Ally Kiba kale kasauti kake kamesikika na kupamba wimbo vizuri saaaaaaaaana nimependa sana kwakweli safi saaaaaaaaaaaaana

Anonymous said...

Miguu inanitetemeka!Ali Kiba huyu huyu!mbona siamini macho yangu? Hongera mdogo wangu sasa kaza buti.

B2S said...

Kweli ni katika wa sanii wa bongo waliotulia na kuendelela vizuri sana.