Wednesday, November 17, 2010

TANGAZO MAALUM LA DIAMOND UK


Utawala na wafanyakazi wa URBAN PULSE, wakishirikiana na Tanzania Community Europe, wana penda kuwatangazia mashabiki wote wa Diamond UK na watu wote wanao support kampeni ya vita dhidi ya Malaria ya kuwa kuna mabadiliko katika ratiba ya show ya Diamond ya tarehe 27 November Birmingham kuhusu ukumbi. kutokana na idadi kubwa ya watu wanaotegemea kujitokeza siku hiyo, imebidi ukumbi ubadilishwe na kwenda kwenye ukumbi wa PALMS BAR unaoweze kuchukua watu wengi. Hivyo sasa shoo nzima itafanyika:

27 November 2010
116 GAR GOSFORD STREET
PALMS BAR
COVENTRY
CV1 5 EA

Mabadiliko haya ni ya lazima na tunaomba radhi kwa ufumbufu wowote utakojitokeza

WOTE MNAKARIBISHWA

Utawala
URBAN PULSE

No comments: