Saturday, March 5, 2011

MBEYA YETU


JINA LA BLOG: MBEYA YETU
Tunapenda kulitambulisha wadau wote libeneke jipya la Mbeya Yetu ambapo nia na malengo ni kuwaletea habari mbali mbali kutoka Jijini Mbeya, Tanzania na Duniani kwa Ujumla ikiwa unatukio la aina lolote usisite kututumia kupitia mbeyayetu@yahoo.com . karibuni nyote na asanteni kwa kututembelea.

Kwa pamoja tunaweza.

1 comment:

emu-three said...

Tumeinyaka hiyo, twamkaribisha sana kwenye ulingo huu wa kublog au wa `vijiweni'