Friday, March 18, 2011

PROFESSA JAY ATUA INDIA, TAYARI KWA MAKAMUZI

The heavy weight MC, professor Jay yuko nchini India kwa shoo maalum kuanzia wikiendi hii. Baada ya ziara hiyo fupi, Jay atarejea nchini tayari kwa shoo ya 'uzalendo concert' itakayofanyika jumamosi ijayo katika viwanja vya Biafra jijini dar.

No comments: