Sunday, June 26, 2011

PROFESA JAY AKAMILISHA VIDEO YAKE MPYA

Professor Jay
Takribani mwezi mmoja uliopita, Professor Jay(The HeavyWeight MC) aliachia wimbo wake wa kwanza kutoka katika album yake mpya inayotarajiwa kuingia kitaani baadae mwaka huu, Kama Ipo. Baada ya hapo,na kama ilivyo ada,kilichokuwa kinafuata ni kutengeneza video ya wimbo huo ambao mpaka hivi sasa wapenzi wengi wa muziki wametokea kuupenda na kuukubali na sasa video yake iko tayari!
Hizi hapa ni baadhi ya picha kutoka katika sehemu mbalimbali ilipotengenezwa video hii. Mtandao wa Bongo Celebrety sambamba na EATV na DTV ndivyo vyombo vya habari vilivyopata exclusive access katika location hizo. Video hiyo ambayo inatarajiwa kutoka ndani ya wiki hizi mbili, inatengenezwa na Visual Lab chini ya usimamizi wa Adam Juma. Kama ulivyo wimbo wenyewe, video inatarajiwa kuweka bayana jinsi gani maisha yanaweza kupanda na kushuka.Ukiwa huna hivi leo, usikate tamaa. Fanya kazi kwa bidii kwani kesho yaweza kuwa zamu yako ya kupanda. Na kama leo unazo, basi nenda taratibu ili hata utakaposhuka, isiwe kinoma noma.
When life gives you lemons,you gotta make lemonade!
Maisha mafungu saba…
Prof.Jay with Sheta
Let the work begin…Adam Juma behind the camera
Prof.Jay with people who makes it happen behind the scene.Brothers!
On set..Jay and Happy
On set before the shoot:I can see Chege,Jaffarai and Mwaipopo…
Prof.Jay and Prince Dully Sykes on set
MwanaFA with one of his amid fan and part of the crew,Ray Msangi.
EATV guys doing their ‘tings
Ready
Even after dark,the work had to go on
I could hear Adam Juma telling Dully Sykes to hang up the phone and get back to work!
AY with Ray Msangi…on set before the shoot
Adam on camera and Prof.Jay
Eliano,on one of the scenes.Pesa ilipoota mbawa.
At Uwanja wa Fisi.I was informed that Prof.Jay is one of the few artists who can safely shoot a video at this location and get full support and respect from the dwellers of this place.Scary!
The crowd…if we needed the extras,wangetosha kabisa!
Adam Juma(left) and Jeff Msangi(I)(right)…after 4:30…fourth day 

No comments: