Mtunza nyaraka muhimu za wateja wa Vodacom Tanzania, Salum Mwalimu, akiwaelekeza baadhi ya warembo hao. Warembo wa  kitongoji hicho walitembelea ofisi za Vodacom Tanzania kujifunza mambo  mbalimbali yanayofanywa na wadhamini wakuu wa shindano hilo,wengine  kushoto ni wafanyakazi wa kampuni hiyo. 
Picha ya kwanza:  Meneja wa duka la Vodacom la Mlimani city Fatma Kalyanye (aliyenyoosha  mkono) akiwaonyesha baadhi ya warembo wanaoshiriki katika kinyanganyiro  cha miss Temeke baadhi ya bidhaa zinazouzwa katika duka hilo.
 
 Mtaalam wa mambo ya habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu (kushoto) akiwaongoza baadhi ya washiriki wa Miss Temeke.
 

No comments:
Post a Comment