Saturday, August 20, 2011

Mambo Sio Mabaya ndani ya Mji wa Tottenha

URBAN PULSE CREATIVE wakishirikiana na Freddy Macha walipata fursa ya kupita mji wa Tottenham uliopo katika jiji la London ili kujionea kwa macho hali ilivyo kwa sasa. Program hii imerekodiwa kwa kutumia Simu ya mkononi,
Asanteni.
URBAN PULSE CREATIVE

No comments: