Mh.Balozi wa Tanzania Bi Mwanaidi Majar pia alihudhuria
Baadhi ya Watanzania wanaoishi DMV waliitikia wito wa kumsindikiza ndugu yao mpendwa Kidee juzi Jumamosi.
Mdhamini wa pendo la Peter Walden kushoto akifatiwa na Peter Walden mwenyewe kwenye mstari wa kumuaga marehemu.
Mhe. Mama Munanka akitoa salam zake za mwisho kwa mwili wa marehemu
Baadhi ya Watanzania wanaoishi Maryland waliochangia kwa hali na mali nao walikuwepo kwenye kanisa la Calvary Lutheran Silver Spring Maryland
Mh. Balozi wa Tanzania Bi Mwanaidi Majar akipata picha ya pamoja njee ya kanisa la Calvary Lutheran lililopo mitaa ya Goergia Ave. Silver Spring Maryland Nchini Marekani.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislamu (Tanzanian Muslim Community Washington Metropolitan) - TAMCO) akiwa na Mhe. Abass Misana pamoja na Watanzania wezake kwenye Misa.
Mh Oska akitoa mkono wa kuaaga!
Swahilivilla: Siku zote sitoacha kusema hili Watanzania Jamii iliyostaarabika ni yenye kuheshimu Mawazo pamoja na mitazamo ya wengine, mchango wako katika kazi yoyote ulenge kujenga jamii yenye kujitambua, kujithamini na kujiwajibisha, pale panapo mahitaji kuhusu jamii yetu kwajumla.
Hii nikuonyesha Amani, maelewana, upendo, na ustahi wajamii yetu hii tuipendayo katika kipindi hiki kigumu kilichotukabili. M/mungu atualie Imani, upendo na mshikamano katika jambo kama hili ambalo kila mmoja wetu liponjiani kumtokea. (Kila kilichoumbwa hakikosi kuonja mauti) Mungu ibariki Tanzania Mungu wabariki Watanzania walio kila pembe ya dunia hii Amin.
1 comment:
mungu ailaze roho ya marehem mahari pema pepon
Post a Comment