Monday, August 22, 2011

ULEVI KUPINDUKIA HUSABABISHA AJALI ENEO LA MAMA JOHN MBEYA

 Mwana usalama barabarani akitoa pleti namba ya gari lililopata ajali maeneo ya Mama John jijini Mbeya, ajali hiyo imetokea jana usiku baada ya dereva wa gari hilo aina ya Toyota Corola kuzidiwa  kilevi na kukosa mwelekeo na kutumbukia katika daraja.
Huwezi kuamini hili gari limeingiaje hapa, kwakweli madereva kuweni makini barabarani, pombe ni hatari, ukiona umelewa acha kuendesha gari!

Picha zote na Mbeya Yetu Blog

No comments: