Wednesday, September 14, 2011

Benki ya NMB yatoa msaada wa millioni 20 maafa ya znz

Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Alli Iddi (kati) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Shillingi Millioni 20, kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Jamii-NMB Shy-Rose Bhanji ikiwa ni msaada wa benki hiyo kwa waathirika wa ajali ya meli huko Zanzibar. Kushoto ni Meneja wa NMB tawi la Zanzibar.
...wakiangalia mfano wa hundi yenye thamani ya Shillingi Mil. 20 Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano benki ya NMB,Shy-Rose Bhanji akitia saini kitabu cha maombolezo

No comments: