Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(watatu kushoto) akiwa pamoja na viongozi wengine wa juu wa Serikali ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara Unguja kuwafariji wafiwa baada ya kuzama kwa meli huko Unguja juzi usiku (picha na Freddy Maro).
Mhe. Rais akimfariji mmoja wa wa watoto walionusirika katika ajali hiyo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali mmoja kati ya majeruhi wa ajali ya Meli hiyo. (Picha na Muhidin Sufiani)
Rais Dk Ali Mohamed
Shein akiwafariji majeruhI wa ajali hiyo.
Misaada: Mshauri wa Mambo ya Habari wa Benki ya NBC, Redemptus Masanja (kushoto) akikabidhi sehemu ya misaada iliyotolewa na NBC kwa ajili ya waathirika ajali ya Meli ya MV Spice Islander kwa Waziri wa Afya wa Zanzibar Juma Haji Duni Mjini Zanzibar juzi. Kulia ni Meneja wa Tawi la NBC Zanzibar, Rajab Maalim.
Misaada: Waziri wa Afya wa Zanzibar, Juma Haji Duni (kushoto) akipokea
msaada wa vyakula, dawa, maji na misaada mingine ya kibinadamu
iliyotolewa na Benki ya NBC kutoka kwa Meneja wa Tawi la benki
hiyoVisiwani Zanzibar, Rajab Maalim
No comments:
Post a Comment