Vodacom Miss Tanzania 2011 Salha Israel
akifurahia jambo wakati akimkabidhi fulana Mwenyekiti wa kamati ya
Uratibu wa Tamasha la utamaduni wa watu wa mkoa wa Rukwa na Mkoa
tarajiwa wa Katavi Mwangaza Msongole. Katikati ni Meneja Mawasiliano wa
Vodacom Salum Mwalim. Vodacom imekabidhi fulana elfu moja zenye thamani
ya zaidi ya shilingi milioni kumi na nne kusaidia hamasa ya tamasha
hilo.
Mwenyekiti wa kamati ya Uratibu wa Tamasha la utamaduni
wa watu wa mkoa wa Rukwa na Mkoa tarajiwa wa Katavi Mwangaza
Msongole(kulia) akiangalia na kuifurahia moja kati ya fulana elfu moja
zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni kumi na nne aliyokabidhiwa na
Vodacom Miss Tanzania 2011 Salha Israel kushoto kwa ajili ya
kufanikisha tamasha la utamaduni wa mkoa wa Rukwa na mkoa tarajiwa wa
katavi litakalofanyika ijumaa katika kijiji cha makumbusho jijini
Katikati ni Meneja Mawasiliano wa Vodacom Salum Mwalim.
Mwenyekiti wa kamati ya Uratibu wa Tamasha la utamaduni
wa watu wa mkoa wa Rukwa na Mkoa tarajiwa wa Katavi Mwangaza Msongole
kulia akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na tamasha la utamaduni
wa watu wa mkoa wa Rukwa na Mkoa tarajiwa wa katavi litakalofanyika
ijumaa katika kijiji cha makumbusho mara baada ya Vodacom Miss Tanzania
2011 Salha Israel(katikati) kumkabidhi msaada wa fulana elfu moja zenye
thamani ya zaidi ya shilingi milioni kumi na nne zilizotolewa na
Vodacom Tanzania,kushoto ni Meneja Mawasiliano wa Vodacom Salum Mwalim.
Vodacom Miss Tanzania 2011 Salha Israel akifurahia jambo
wakati akimkabidhi fulana Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Uratibu wa
Tamasha la utamaduni wa watu wa mkoa wa Rukwa na Mkoa tarajiwa wa
Katavi John Kafuku, Katikati ni Meneja Mawasiliano wa Vodacom Salum
Mwalim. Vodacom imekabidhi fulana elfu moja zenye thamani ya zaidi ya
shilingi milioni kumi na nne kusaidia hamasa ya tamasha hilo.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu kushoto
na Meneja Mawasiliano wa kampuni hiyo Salum Mwalim wakijadili jambo na
Vodacom Miss Tanzania 2011 Salha Israel wakati wa makabidhiano ya
fulana elfu moja zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni kumi na nne
zilizotolewa na Vodacom Tanzania,kwa ajili ya kufanikisha tamasha la
utamaduni wa watu wa mkoa wa Rukwa na Mkoa tarajiwa wa Katavi
litakalofanyika ijumaa katika kijiji cha makumbusho jijini Dares salaam.
Vodacom Miss Tanzania 2011 Salha Israel akimkabidhi
fulana Mwenyekiti wa kamati ya Uratibu wa Tamasha la utamaduni wa watu
wa mkoa wa Rukwa na Mkoa tarajiwa wa Katavi Mwangaza Msongole. Katikati
ni Meneja Mawasiliano wa Vodacom Salum Mwalim,wengine kutoka kulia
Katibu wa kamati hiyo Godffrey Arubano na makamu Mwenyekiti wa kamati
hiyo John Kafuku Vodacom imekabidhi fulana elfu moja zenye thamani ya
zaidi ya shilingi milioni kumi na nne kusaidia hamasa ya tamasha hilo.
No comments:
Post a Comment