Lango la kuingilia Dar Live...Mbagala Zakhem
Muonekano wa mbali wa Dar Live
....ndege ya watoto ya Dar Live
...samaki wa Dar Live
......michezo ya watoto...Merry Go Round.....
Slides za watoto
...Garden ya Waterfalls
...baadhi ya Viungu vya kulia bata vikinakshiwa na picha kubwa za wasanii wa bongo
.pichani juu nii aina tofauti za michezo ya watoto iliyomo ndani ya kiwanja cha Dar Live
..steji la kudumu likiwa katika hatua za mwisho kabla ya kufungwa lights
Pichani juu wanahabari waliohudhuria wakati wa utambulisho wa ukumbi
Ukumbi
mpya wenye hadhi ya kimataifa wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es
Salaam unatarajiwa kuzinduliwa rasmi Januari Mosi, 2012 na kusindikizwa
na burudani ya nguvu kutoka kwa wasanii kibao wakiongozwa na Juma Kassim
Kiroboto ‘Sir Nature’ sambamba na Kundi la Muziki wa Kizazi Kipya la
Gangwe Mob, wote wakiwa wasanii kutoka pande hizo wakizindua kiwanja cha
nyumbani.
No comments:
Post a Comment