Mh Cheyo, Mh Balozi Kallaghe na Frank wakibadilishana mawazo
Mh Cheyo na Baraka Baraka baada ya kumaliza Mahojiano
Salam,Urban Pulse Creative walipata fursa ya kukutana na Mbunge wa Bariadi mashariki Mhe. John Mamose Cheyo katika Ubalozi wa Tanzania mjini London nchini Uingereza alipokutana na Mhe Balozi Peter Kallaghe. Vilevile Baraka Baraka kutoka Urban Pulse alifanya naye mahojiano maalum na kujadili mambo kadhaa kama dhumuni ya ziara yake, mchakato wa Katiba mpya, miaka 50 ya uhuru wa Tanzania na mipango ya maendeleo katika jimbo lake na mengineyo.
Mahojiano hayo yatarushwa hivi karibuni, usikose kuangalia
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE
No comments:
Post a Comment