Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania Mary Natema akiwanywesha juisi baadhi ya watoto yatima
waliohudhulia uzinduzi wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa
mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya
krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni
hiyo.

Ofisa Mkuu wa Masoko na Uhusioano wa Vodacom Tanzania, Mwamvita Makamba (kulia) akiongea jambo na Mkurugenzi rasilimali watu wa Vodacom Stela Chiwango pamoja na Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo
Mkuu wa kitengo cha kusaidia jamii cha Vodacom Tanzania”Vodacom Foundation”Yessaya
Mwakifulefule akitwishwa kiroba cha Maharage na Meneja Uhusiano na Habari za Mtandao wa
kampuni hiyo Matina Nkurlu kushoto na Meneja wa akaunti na usajili wa namba za simu Loius
Maro,

Meneja wa kitengo cha m pesa kanda ya pwani wa Vodacom Tanzania Nabwike Kibona
akimtayarishia chai Ramadhani Abdalah ambae ni mtoto yatima wa kituo cha Mwana Orphans
Centre cha Vingunguti

akiwahudumia watoto yatima wa kituo cha Mwana Orphans Centre cha Vingunguti

Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwahudumia chakula baadhi ya watoto
yatima wa vituo mbalimbalivya jijini Dares Salaam

Mtoto yatima wa kituo cha T.H.M.H cha Magomeni jijini Dare Salaam Rebeca Elias akiwa
ameshikilia mbuzi mara baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi rasilimali watu wa Vodacom
Tanzania Stela Chiwango aliemshika begani na Ofisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa kampuni
hiyo Mwamvita Makamba watatu toka kuli

Watoto yatima wa kituo cha Friends of Don Bosco kilichopo kimara wakibeba msaada wa vitu
mbalimbali vilivyotolewa na wafanyakazi wa Vodacom

Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakicheza pamoja na watoto yatima wakati wa
uzinduzi wa kampeni ya Share and Care hapo jana

Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja tayari
kuelekea katika vituo mbalimbali vya watoto yatima vya jijini Dares Salaam mara baada ya
uzinduzi rasmi wa kampeni ya Share and Care hapo jana ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa
mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya
krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni
hiyo.
kuelekea katika vituo mbalimbali vya watoto yatima vya jijini Dares Salaam mara baada ya
uzinduzi rasmi wa kampeni ya Share and Care hapo jana ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa
mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya
krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni
hiyo.
No comments:
Post a Comment