Mkuu wa Polisi Jamii wa Kituo cha Mto wa Mbu kilichopo Wilaya ya
Monduli Mkoani Arusha,Issaya Doya akimkaribisha Ofisa Mkuu wa Masoko na
Mahusiano wa VodacomTanzania Mwamvita Makamba, wakati wa sherehe ya
kakabidhi rasmi kituo hicho kilichakarabatiwa kwa mara ya kwanza na
Vodacom Foundation kwa thamani ya shilingi Milioni 17,tangu kijengwe
mwaka 1967.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha (RPC) Thobiasi Andengenye akimkaribisha
Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita
Makamba,wakati wa hafla ya kukabidhiwa kituo cha Mto wa Mbu kilichopo
Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha , kilichokarabatiwa kwa mara ya kwanza
na Vodacom Tanzania kwa thamani ya Shilingi Milioni 17 tangia kijengwe
mwaka 1967.katikati ni Mkuu wa Polisi Wilaya ya Karatu ( OCD ) Mathias
Nyange.
.Hichi ni Kituo cha Polisi Cha Mto wa Mbu kilichopo Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha kikionekana katika muonekano mpya baada ya kukarabatiwa na kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa kiasi cha shilingi Milioni 17 kwa mara ya kwanza tangu kijengwe mwaka 1967.
No comments:
Post a Comment