Kazi Zingine ni sawa na kisiki cha mwiba!
Kazi ni kazi,lakini kazi zingine ni sawa na kisiki cha mwiba utoa mwiba!
Hivi ingekuwa ni wewe mdau,itokee mwanaume mwenzio akakuchapa
kibao au kofi mbele ya watu au hadharani tena mbele ya mkeo na wanao!
au pengine mbele ya wakwe zako! ungejisikiaje?au utajisikiaje?
Kama vile bondia Vitali Klitschko alivyonaswa kibao cha uso na mbabe
mwenzia Derrik Chisora(mwingereza mwenye hasili ya Zimbabwe),
Tukio hili labda lisengempata Vitali Klitschko,likakupata wewe mdau
ukiwa umekaa barazani kwako na familia yako uswahilini,wakatokea
FFU aka Kina Ras Makunja,na hasira zao wamekukuda na kukupereka
mwendo NO SMOKING (mguu moja haukanyagi chini) ! tena mbele
ya watoto na mkeo ungejisikiaje?
No comments:
Post a Comment