Tuesday, March 13, 2012

AKINA RIHANNA WAKIWAPA RAHA MASHABIKI DAR LIVE

 
Washiriki wa shindano la Vaa, Imba na Cheza kama Rihanna wakiwapa burudani mashabiki kwa kucheza wimbo wa Dully Sykes uitwao "HI" katika Tamasha la Mnanda VS Mduara lililofanyika Jumapili Machi 11, 2012 ndani ya Ukumbi wa Dar Live.

No comments: