Monday, March 12, 2012

EASY MAN AKIWAPAGAWISHA MASHABIKI WA DAR LIVE

 
Mkali wa Mnanda, Easy Man akiwapagawisha wapenzi wa burudani waliofurika katika Ukumbi wa Kisasa wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem Jumapili, Machi 11, 2012 wakati wa Tamasha la Mduara Vs Mnanda.

No comments: