Ni miaka minne sasa imepita tangu
ulipo enda kwenye makao ya kudumu.Hatupo nawe kimwili lakinii kiroho upo nasi
daima. Tunakukumbuka sana Baba yetu Mpendwa. Unakumbukwa sana na Mke wako
Mpendwa Mama Elizabeth Anthony Njeje, Wanao Aninziye, Luseshelo-Ernest, Fredy
na Sarah. Wajukuu zako Anthony Jr, Shikunzi-Alvin, Amarisa na Yasinta, Pia
unakumbukwa na wafanyakazi wenzako, majirani zako, waumini wenzako, ndugu Jamaa
na Marafiki. Sisi Tulikupenda sana lakinin Mungu alikupenda Zaidi. Jina la
Bwana Lihimidiwe.
Amen
No comments:
Post a Comment