Hii ndio Sehemu ambayo maharusi walitakiwa kukaa
Wageni waalikwa wakiwa wametulia baada ya kupewa taarifa ya kuwa maharusi wameingia mitini
Mwenyekiti wa kamati akiwa na wanakamati wenzake wasijue cha kufanya wakati wa sherehe hizo muda huu
Shampeni ikiwa ina elekea kufunguliwa pasipo na maharusi
Waalikwa katika Sherehe hizo wakiendelea kuburudika pasipo na maharusi
Mwandishi mkuu wa Mbeya yetu yupo live sasa ukumbini hapo
Msemaji wa Familia akitoa utambulisho
Mama mzazi wa bwana harusi akitambulishwa bila maharusi
Picha zote na Mbeya yetu
No comments:
Post a Comment