Sunday, April 8, 2012

Mama Kanumba aongea kuhusu marehemu mwanae na Nicolous Ngaiza

 
Flora Mtegoa Mama wa kanumba akiongea na mwana libeneke Nicolaus Ngaiza akiwa bado Bukoba kuthibitisha kupokea taarifa za kifo cha mwanae kwa masikitiko na huzuni kubwa. Imeandaliwa na Nicolous Ngaiza, Urban Pulse wakishirikian na Miss Jestina Blog

No comments: